Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » WANACHUO WENGINE NCHINI MAREKANI WAUAWA,OBAMA ASEMA MACHACHE KUHUSU HILO
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Matukio ya watu kupigwa risasi katika maeneo ya wazi yamekuwa yakiripotiwa kila wakati Marekani..Headlines za sasa ni kuhusu kijana mmoja kuvamia chuo cha Umpgua community na kuua wanafunzi 10 huku wengine saba wakijeruhiwa.

Polisi walipata taarifa hiyo baada ya mtuhumiwa huyo kufanya tukio hilo na kufika eneo la tukio..pia polisi walifanikiwa kumuua Harper Mercer ambaye anatuhumiwa kufanya mauaji hayo kwa kumpiga risasi akiwa bado eneo la tukio.

Mmoja wa mashuhuda ambaye alikua baba wa mmoja wa wanafunzi waliojeruhiwa alisema alisema kijana huyo aliyejulikana kwa jina la Harper Mercer kabla ya kufanya mauaji alikua akiwauliza watu hao wanatoka dini gani kisha kuwafyatulia risasi.

Polisi bado wanaendelea na uchunguzi kujua muuaji huyo alikua na lengo gani na kutafuta nyumba aliyokuwa akiishi.

Rais wa Marekani Barak Obama amesema matukio ya watu kuua raia yamekuwa yakawaida sana na kuvitaka vyombo husika kuweka sheria ya udhibiti wa silaha za moto.

Harper Mercer mwenye miaka 26, kijana anayetuhumiwa kufanya mauaji hayo

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / WANACHUO WENGINE NCHINI MAREKANI WAUAWA,OBAMA ASEMA MACHACHE KUHUSU HILO

No comments :