Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » BINGWA WA KOMBE LA LIGI KUU TANZANIA BAYA {VPL} HUYU HAPA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Baada ya mechi ya jana kati ya Azam fc na Stand United sasa ni wazi kazi ya kuusaka ubingwa ipo pale pale licha ya kuwa kwa tahmini ya haraka haraka ni wazi kwamba timu mbili ndizo zenye nafasi kwa asilimia 80 huku moja ikiwa kati ya asilimia 70 na 60 ya kunyakuwa ubingwa huo.

ikiwa unatathmini bila kuingiza ushabiki utagundua kuwa Yanga ina nafasi kubwa zaidi ikifuatiwa na Azam huku Simba ikiwa katika hati hati na kusubiri muujiza kwa timu hizi zote mbili za Yanga na Azam fc.

kwa nini nasema inasubiri miujiza? jibu ni jepesi kuwa ili Simba iwe bingwa ni lazima Azam na Yanga wapoteze mechi na yenyewe isipoteze mechi hata moja na pia isitoke sare ya aina yoyote isipokuwa labda yanga na azam zote zipoteze mechi mbili na kuendelea na yenyewe ishinde mechi zote au itoke sare mchezo mmoja pekee jambo linaloonekana kuwa gumu kiasi.
kwa nini nasema ni gumu kiasi? hii ni kwa kuwa mechi za kila timu ilizobakiza zinaweza kukupa taswira halisi ya matokeo ya mwisho, pia nje na michezo iliyosaria kwa kila timu pia rekodi za mechi hizo zinazibeba zaidi timu hizi za yanga na azam.

Sawa ligi bado ni ngumu lakini yanga na azam zina nafasi pia kutokana na michezo zilizosalia nazo wakicheza vema karata zao ni wazi simba itabidi isubiri mti wa pipii upandwe ili ivune msimu ujao si leo wala baadae.

Hizi ni takwimu halisi baada ya mechi ya jana kati ya Azam Fc na Stand United ambapo Azam ilizidi kutafuna kiporo chake kwa chai ya moto...

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / BINGWA WA KOMBE LA LIGI KUU TANZANIA BAYA {VPL} HUYU HAPA

No comments :