Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » JAMHURI YA KONGO KUMCHAGUA RAIS KESHO
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Wakuu katika serikali ya Jamhuri ya Congo wameamrisha kampuni mbili kuu za simu, kufunga mawasiliano yote ya simu, wakati wa uchaguzi wa urais hapo kesho.

Wizara ya mashauri ya ndani ya nchi ilisema imefunga mawasiliano kwa sababu za usalama.
Mgombea wa upinzani, John Marie Michel Mokoko, alisema amepokea amri ya kwenda polisi, na alisema hiyo ni hatua ya kumzuia yeye katika kugombea uchaguzi.
Wagombea wanane wanampinga Rais Denis Sassou Nguesso.
Katiba ilibadilishwa mwaka jana, kumruhusu agombee tena uongozi.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / JAMHURI YA KONGO KUMCHAGUA RAIS KESHO

No comments :