Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » POLIS DODOMA WAKAMATA SILAHA 26 IKIWEMO YENYE SHANGA, INAAMINIKA NI ZA KISHIR.............................!!!!
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Na. Lydia Kishia na John Banda

JESHI la polisi Mkoani Dodoma limefanikiwa kukamata silaha 26 aina ya Gobole na mtambo ya kuyatengezea kinyume cha sheria ya umiliki wa siraha.

Kamanda wa polisi Mkoa wa Dodoma Lazaro Mambosasa amewaambia waandishi wa habari kuwa Magobore 19 yamesalimishwa na wamiliki waliokuwa wakiyamiliki kinyume na sheria baada ya kusikia wito wa Jeshi hilo lililowataka kuzisalimisha.

Mambosasa amesema jeshi hilo pia linawashikilia watu 7 wakazi wa Manda Wilayani Chamwino baada ya kuwakamata na aina hiyo ya silaha 7 pamoja nyundo 1 risasi zilizotengenezwa kienyeji ambazo zinadaiwa zilikuwazikitumiwa kuwindia wanyama katika poli la Ruaha mkoani iringa

Aidha kamanda huyo amesema moja ya Gobole lilikuwa limevishwa shanga ambayo ni ishara ya nguvu za Giza ili polisi wasifanikiwe kuikamata ambapo pamoja na hilo wamefanikiwa kukamata pikipiki zenye makosa mbalimba 250 na kuwatoza wamiliki wake jumla ya million 7 na Laki 2 na 30 Elfu

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / POLIS DODOMA WAKAMATA SILAHA 26 IKIWEMO YENYE SHANGA, INAAMINIKA NI ZA KISHIR.............................!!!!

No comments :