Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » RC PAUL MAKONDA AZUNGUMZA NA WENYEVITI NA MAOFISA WATENDAJI WA JIJI LA DAR ES SALAAM
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akizungumza na wenyeviti na maofisa watendaji wa jiji la Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu mambo mbalimbali hasu suala la usafi wa mazingira.

 Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mmbando akiongoza mkutano huo.

Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi akizungumza katika mkutano huo.

 Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema akizungumza katika mkutano huo.

 Mwakilishi wa Taasisi ya Wakala wa Upimaji Ardhi Tanzania, Linus Kinyondo akizungumzia suala zima la ujenzi wa nyumba kwa kuzingatia mipango miji ili kutunza mazingira.

Wenyeviti na maofisa watendaji wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda (hayupo pichani)

Maofisa Watendaji na Wenyeviti wa Manispaa ya Kinondoni wakipiga makofi kwenye mkutano huo. 

habari
Mkuu wa mkoa wa Dar ea salaam Mh.Paul Makonda amekutana na watendaji wa halmashauri wa jiji la dar es salaam katika ukumbi wa mikutano wa mwalimu nyerere.

Mh.Makonda amewakumbusha watendaji hao juu ya usafi wa mazingira ya jiji hilo pamoja na ushirikiano wao kama viongozi wakiwemo wenyeviti wa mitaa na mabalozi ili kurahisisha majukumu yao kwa wananchi. 

(Picha kwa msaada wa fullshangwe.blogspot.com }

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / RC PAUL MAKONDA AZUNGUMZA NA WENYEVITI NA MAOFISA WATENDAJI WA JIJI LA DAR ES SALAAM

No comments :