Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » TFF KATIKA HILI UZALENDO UMEWATOKA MMEWEKA MBELE KUJITAFUTIA UMAARUFU KWA WACHACHE.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Ukiwa unaingia nchini misri hasa ni kocha au mchezaji na bahatimbaya ukawa  unakutana na zamalek na ukafika sehemu moja ikijulikana kama Petro Sport Stadium –uwanja wao wa kujidai au  Cairo Stadium kwa Al Ahly unauhakika wa kukutana na
vitimbi vya kutosha ikiwa ni vikwazo vya hapa na pale ili tu kukufanya ushindwe kucheza vema ili tu wakutoe mchezoni maksudi, hii ndio huitwa fitna mchezoni. 
Nenda pia pale Ismailia Stadium au pale Harras El-Hedoud Stadium mjini AlexandriaMisri hali ni hiyo hiyo, kwanini kwa sababu wanahitaji ushindi.
Utasema ni tabia ya wamisri pengine wana tabia mbaya sasa twende Morocco kutana na Raja Casablanca katika dimba lao la Stade Mohamed V, ni yale yale neon uzalendo unalipata huko sio hapa.
&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&

Laikini hapa naomba nianze kwa kusema ikiwa tunahitaji soka letu kukua na kufikia kuitwa wa kimataifa ni lazima kujitoa kwa nguvu na roho kwa kuzipa msaada wa hali na mali timu zetu, hasa zinaposhiriki michuano ya kiataifa lich aya kwamba hata michuano ya ndani uzalendo ni muhimu.

Uzalendo wa ndani ni kila mtanzania kujitoa kuisaidia timu yake anayoishabikia kama mwanachama ili iweze kufanya vema katika michuano ya ndani, lakini linapokuja suala la michuano ya kimataifa ni lazima sasa kujiweza kizalendo kama taifa na si kama klabu.

Lakini katika suala hili wanaopaswa kuonesha uzalendo wakiwa mstari wa mbele ni wenye mamlaka y aSoka nikimaanisha TFF kwa kuzipa support timu zetu hasa zinazoshiriki michuano ya kimataifa ili kufanya vema kwani kwa kufanya hivyo kutatoa mianya mingi ya ajir anje ya nchi kwa wanamichezo wetu.

Lakini sasa kinachoonekana ni tofauti kabisa kutokana na mienendo ya TFF linapokuja suala la uzalendo na maamuzi yenye tija kwa taifa wao badala ya kuwa msaada kwa wote kwa kutenda haki, wao ndio uzalendo unawatoka na kuonekana wakibeba kujitafutia umaarufu kwa wachache wanaojua kuongea pasipo kujali utaifa una maana gani kwetu.

Ukiachana na mashabiki wa Timu za Azam na Yanga kulalamikia ratiba ilivyovurugwa ili kuifurahisha klabu ya samba iliyokwenda kulalamika kwa shirikisho hilo, lakini pia hata wataalamu wa soka wameliona tatizo hilo na kuonesha kuingiwa wasiwasi na maamuzi ya watendaji wa Tff likiwemo shirikisho hilo kwa ujumla wake lakini pia bodi ya ligi kutokana na ratiba yao ilivyo.

Ndio, naiita ratiba yao kwa kuwa wanaweza kuibadili muda wowote wanaotaka lakini ukweli ni kwamba wameshindwa kupanga vema ratiba hiyo kulingana na kalend aya kimataifa, hivi wanadhani ligi kubwa kama ya England {VPL} kwanini mwezi wa 12 huwa na michezo mingi mfululizo kwa timu zao au kwanini timu nyingine za ulaya na baadhi za afrika hakuna mkanganyiko wa ratiba na kuweka viporo? Ni kwa sababu wanaifahamu ratiba ya mechi za kimatafa.

April 9 Yanga inacheza na Al Ahly  ya Misri hapa Tanzania katika dimba la taifa la Dar es salaam, lakini ukiangalia jinsi inavyocheza mechi mfululizo ni aibu, sasa sijui TFF imeamua kuikomoa kwa sababu ya maneno na ushawishi wa wachache au imekaa ikafikiria kuwa hakuna tatizo katika hilo! Sina uhakika katika hilo.

Ukichukua michezo yanga itakayocheza kuanzia kesho March 31 hadi april 9 unakutana na michezo mitano katika mashingano matatu tofauti ikiwemo Ligi kuu bara, FA pamoja na Ligi ya mabingwa Afrika, lakini kwa wapinzani wao kwa muda wote huo watakuwa na mechi moja pekee na hutumia kiwanja kizuri sio kama vya hapa nchini , hili ni tatizo na kama hatuna uwezo wa kufanya kitu ni vema tukaomba msaada wa kufanyiwa au kurekebishiwa vitu na si kutumia akili za wachache kupanga mambo ya wengi tutaumia baadae.

Kocha mkuu wa timu ya Yanga sc akiongea na gazeti la Champion Jumatano, amesema hivi namnukuu :”umeona yamefanyika mabadiliko ya mechi za ligi kuu,ndani ya takribani siku 14 tutacheza hadi mechi tano,hasa ukijumlish ana ile ya FA na ile dhidi ya Al Ahly”.”Hata timu nyingine yoyote ya ulay aisingekuwa na uwezo huo.hapo unatengeneza uchovu na majeraha”. Tayari lakini hata TFF walipaswa  kujua yanga inakwenda kupambana na Al Ahly kwa ajili ya Taifa, sasa haiwakilishi wanayanga pekee wangetoa nafasi ya ya maandalizi ya uhakika. Yang asi timu kubwa kama Al Ahly inabanwa kwenye maandalizi wakati Al Ahly ambao ni wakubwa wamepewa nafasi kubwa wajiandae kwa nafasi”. Mwisho wa kunukuu.

Mi nadhani Tff inapaswa kutumia busara kurekebisha ratiba zao ni heri ligi ikasimama kwa muda kupisha michuano ya kimataifa kama vile inapokuwa ikicheza timu ya taifa mbona ligi husimama? 

Au uzalendo tunapaswa kuonesha huko tu?, mbona katika timu ya taifa huwa na wachezaji kutoka baadhi ya  timu na si timu zote? Basi zile zisizo na wachezaji katika timu za taifa ziendelee na mechi nyinginezo, lakini haiwezekani kutokana na kwamba watanzania wote wanapaswa kuifuatilia timu ya taifa kuishangilia kuiongezea nguvu vivyo hivyo hata vilabu vyetu vinaposhiiki michuano mikubwa kama hii basi vipewe heshima yao.

Yanga na Azam fc ni timu zinazowakilisha nchi, hivyo basi ni wajibu wa watanzania kutoa utofauti wao na ushabiki wa Simba na Yanga na kuziunga mkono Yanga na Azam fc ili kufanya vema na kuitangaza Tanzania nje ya nchi kwani kwa kufanya hivyo hata vilabu vingine vitapata nafasi ya kutangazwa kimataifa.

Nategemea siku ya April 9 Bwana Haji Manara mkuu wa idara y ahabari ya Simba SC na Mkuu wa idara ya habari ya Young Africa Jeri Muro kukaa hata jukwaa moja wakibadilishana mawazo ili kupeana mikakati, lakini pia nategemea kumuona Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF akiwa pamoja na benchi la ufundi la yanga na sio kukaa jukwaani kama shabiki au mgeni rasmi hii itasaidia pia kuongeza nguvu, lakini pia kwa upande wa Azam hivyo hivyo sitegemei kumsikia Rais wa TFF akitoa majibu ya maswali atakayoulizwa na waandishi wa habari kwa njia ya simu zaidi nategemea kusikia akiwa na waandishi hao uwanjani na kuelezea mapungufu na uimara wa Azam Fc kwa utaalamu  kutokana na alichokiona tofauti na hapo nitaamini zaidi kuwa pasipo na kitu cha kujinufaisha hakuna dalili za uzalendo katika soka letu na kuendelea tuwaachie wenye kuelewa nini faida ya uzalendo wa kimichezo katiak taifa linalokua kisoka kama ilivyo kwa Tanzania ya leo.

TFF endekezeni uzalendo, msisikie masuala ya lawama za umimi na kuharibu ukuta wa nyumba kwa ajili ya kutengeneza Banda la mifugo.ni hayo kwa leo Asanteni…

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / TFF KATIKA HILI UZALENDO UMEWATOKA MMEWEKA MBELE KUJITAFUTIA UMAARUFU KWA WACHACHE.

No comments :