Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » YULE JAMAA ALIYEITEKA NDEGE YA MISRI NA KUIAMURU KWENDA CYPRIUS KUMCHEKI MKEWE ,AMEWEKWA RUMANDE
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Mwanaume aliyejisalimisha kwa polisi wa Cyprus baada ya kuteka nyara ndege ya Egypt Air amefikishwa mahakamani.
Seif Eldin Mustafa amewekwa rumande kwa siku 8 ilikuruhusu uchunguzi ukamilishwe.
Mahakama hiyo ya Larnaca inapanga kumfungulia mshukiwa huyo mashtaka ya utekaji nyara, na kutishia maisha ya abiria waliokuwa ndani ya ndege hiyo ya Egypt Air.
Hakuruhusiwa kuzungumza ila alionesha alama ya ushindi alipokuwa akiondolewa mahakamani.
Maafisa wakuu wa Cyprus wanasema kuwa wanaona dalili kuwa Mustafa anamatatizo ya kiakili wakisema tukio hilo la utekaji nyara halihusiani kwa njia yeyote na ugaidi.
Ndege hiyo ya EgyptAir MS181 ilikuwa ikibeba abiria 55, ikiwemo raia 26 wa kigeni waliotoka Alexandria kueleka Cairo.
Wengi wa wale waliokuwa wameabiri ndege hiyo waliwachiliwa baada ya ndege hiyo kutua katika uwanja wa ndege wa Lanarca lakini mtekaji huyo aliwazuia watu saba kabla ya kisa hicho kukamilika kwa amani.
Waziri wa maswala ya nje wa Cyprus Ioannis Kasoulides alisema kuwa bw Mustafa aliomba kuzungumza na mkewe wa zamani ambaye aliletwa katika uwanja wa ndege na polisi kabla ya kuanza kutoa matakwa mengine ya ''yasiyo na maana''.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / YULE JAMAA ALIYEITEKA NDEGE YA MISRI NA KUIAMURU KWENDA CYPRIUS KUMCHEKI MKEWE ,AMEWEKWA RUMANDE

No comments :