Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » ZIARA YA KIHISTORIA YA RAIS OBAMA CUBA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Rais wa Marekani Barack Obama ameanza ziara ya kihistoria nchini Cuba, akiwa ndiye rais wa kwanza wa Marekani kuzuru taifa hilo katika kipindi cha miaka 88.
Ziara hii ya siku tatu ndiyo kilele cha mazungumzo ya miaka miwili yaliyonuia kurekebisha uhusiano kati ya Marekani dola kubwa zaidi duniani na jirani yake yenye mfumo wa kiujamaa.
Punde baada ya kuwasili Obama ametembea kwenye barabara za mji wa kale wa Havana na pia kuwahutubia wafanyakazi wa ubalozi mpya wa Marekani.
Kiongozi huyo amesisitiza ziara yake inatoa nafasi kushauriana na raia wa kisiwa hicho,pia ameahidi kuangazia masuala ya haki za binadamu, kuwepo mageuzi ya kisiasa japo maafisa wa Cuba wamesema hakuna ajenda ya kujadili vile nchi hiyo inaweza kukubali vyama vingi vya kisiasa.

Rais Obama baadae atakutana na Rais wan chi hiyo Raul Castro. 

MWISHO

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / ZIARA YA KIHISTORIA YA RAIS OBAMA CUBA

No comments :