Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » VIPI! UMEKUTANA NA MATOKEO YA SIMBA HUKO?, HAYA HAPA MAGOLI MATATU YA WACHEZAJI WAPYA WA SIMBA TAIFA LEO KATIKA UFUNGUZI WA VPL. {VIDEOS}
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Mchezaji wa timu ya Ndanda FC ya Mtwara akikokota mpira huku mchezaji wa Simba Laudit Mavugo akimfukuzia katika mchezo wa Ufunguzi wa Ligi Kuu ya Vodacom kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam jioni hii . 
Timu zote zimepata magoli katika kipindi cha kwanza Simba ikijipatia  goli lake  kupitia kwa Laudit Mavugo huku Ndanda FC ikisawazisha kupitia mchezaji Omary Mponda.
Katika kipindi cha pili wachezaji wa timu ya Simba Fredrick Blagnon na Shiza Kichuya wamefanikiwa kuifungia timu yao magoli mawili na kuifanya Simba kushinda mchezo huo 3-1 dhidi ya Ndanda FC.

>>>>>Tazama video ya magoli hapa>>>>>

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / VIPI! UMEKUTANA NA MATOKEO YA SIMBA HUKO?, HAYA HAPA MAGOLI MATATU YA WACHEZAJI WAPYA WA SIMBA TAIFA LEO KATIKA UFUNGUZI WA VPL. {VIDEOS}

No comments :