Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » » BARCA YAPIGA TIMU SABA, MSN YATUPIA SITA, MESSI MFUNGAJI HATARI WA HAT TRICK KWA SASA NDIYE KINARA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Mchezaji staa wa Barcelona, Lionel Messi akishirikiana na wenzake wawili Neymar na Luis Suarez ambao walikuwa wakijulikana kwa kifupi kama MSN wamefanya kazi nzuri kwa kuipa kichapo Celtic mabao 7-0 kwenye Uwanja wa Camp Nou katika Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Messi ameweka rekodi ya kuwa mchezaji aliyefunga mabao matatu katika mechi moja ‘hat-tricks’ mara nyingi zaidi kuliko wote katika michuano hiyo ya Ulaya.  

PICHAZ!!!

Tazama video ya magoli na highlights zote hapa >>>>>>
 
About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / / BARCA YAPIGA TIMU SABA, MSN YATUPIA SITA, MESSI MFUNGAJI HATARI WA HAT TRICK KWA SASA NDIYE KINARA

No comments :