Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » » RAIS KENYATTA ADAI TANZANIA HAINA MGOGORO NA NCHI YAKE
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Rais Uhuru Kenyatta leo amepuuzia ripoti za vyombo vya habari vya Kenya zinazoashiria kuwepo kwa mgogoro baina ya Kenya na Tanzania.

Akiongea wakati akizindua temino ya pili katika bandari ya Mombasa, rais Kenyatta amekanusha kuwepo kwa aina yoyote ya mgogoro, na kusema nchi hizo zinategemeana.

“Nimesoma magazeti na kuangalia televisheni zikiashiria kuwepo mgogoro baina yetu, lakini nataka kuwaeleza wazi kuwa Kenya na Tanzania hazipo kwenye mgogoro wa aina yoyote,” alisema Kenyatta.

Rais Kenyatta amesema uchumi wa mataifa haya mawili unaingiliana na ni kwa manufaa ya wananchi wa Kenya na Tanzania.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / / RAIS KENYATTA ADAI TANZANIA HAINA MGOGORO NA NCHI YAKE

No comments :