| Kikosi cha Simba SC |
| Mashabiki na wapenda soka wakitafakari waingie vipi, hasa wale wasio na mkwanja |
| Sehemu ya mashabiki waliofurika |
| Moja ya kundi la washangiliaji wa Simba |
| Afisa habari wa Simba Haji Manara akimuongoza Naibu Spika wa Bunge Mh.Tulia |
| Waziri wa Habari, Utamaduni na michezo Mh. Nape Nnauye akisalimiana na Benchi la ufundi la Simba SC |
| Abdi Banda wa Simba sc akishangilia goli la kwanza |
| Abdi Banda na wenzake wa Simba sc wakishangilia goli la kwanza |
| Ki-shkaji, Manyika Junior akimpongeza mshkaji wake Banda baada y akufunga Goli la kwanza |
| wachezaji wa simba wakimpongeza Said Ndemla baada ya kufunga goli zuri kwa simba na likiwa ni goli la pili katika mchezo huo. |
| fear play baada ya mechi |
No comments
Post a Comment