Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » HUZUNI!!!! HATIMAYE MAZISHI YA ALIYEKUWA WAZIRI WA OFISI YA RAIS MENEJIMENTI YA UMMA BI. CELINA KOMBANI YAFANYIKA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Habari

Hatimaye mazishi ya aliyekuwa waziri ofisi ya rais menejimenti ya utumishi wa umma Bi Celina Ombeshi Kombani yamefanyika leo majira ya alasiri kwenye shamba lake lililopo eneo la Lukobe manispaa ya Morogoro yakiongozwa na makamu wa rais Dk Ghalib Bilal baada ya kuagwa mwili wa marehemu katika uwanja wa jamhuri mjini Morogoro.

Shughuli za kuaga mwili wa marehemu ziliongozwa na waziri mkuu Mizingo Pinda pamoja na viongozi wengine akiwemo spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania Bi Anna Makinda naibu spika Job Ndugai, mke wa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mama Salma Kikwete, mke wa waziri mkuu Bi Tunu Pinda pamoja na viongozi wengine wa chama na serikali katika ngazi mbalimbali na wananchi wakiwemo wa jimbo la Ulanga mashariki.
 
Akizungumza katika ibada ya misa ya kuuaga mwili wa Celina Kombani mchungaji Wilfred Mmari amewasisitizia wanadamu kuhakikisha wanajiandaa wakati wote kwa kutenda mema huku Bi Jenister Mhagama akizungumza kwa niaba ya serikali amesema serikali itaendelea kutekeleza mipango yote aliyoiacha waziri Kombani.
 
Kwa upande wake spika wa bunge Bi Anna Makinda amesema wanadamu tunapaswa kushirikiana na makundi yote kwenye jamii kwa kuyatendea mema huku katibu mkuu ofisi ya rais menejimenti ya utumishi wa umma Bw Habu Mkwizu amesema marehemu Kombani katika uhai wake aliweza kushika nafasi mbalimbali kwenye chama.
naye mkuu wa mkoa wa Morogoro Dr Rajab Rutengwe wakiwemo wananchi wawilaya ya Ulanga wamesema wamepeteza mtu muhimu ambaye aliwasaidi watu wa aina zote na warika mbalimbali na ambapo ameweza kusaidia wananchi wa jimbo lake katika makundi mbalimbali huku kwa upande wa watumishi akiwezesha kuboresha mazingira ya kazi ikiwemo makazi ya watumishi ujenzi wa shule na kwamba hatua hiyo imewezesha kuvutia watumishi wa serikali kufanya kazi wilayani humo.
 
Waziri Kombani alifariki Septemba ishirini na nne mwaka huu katika hospitali ya Apollo nchini India alikoenda kupatiwa matibabu ambapo aligundulika kuwa na kansa ya kongosho na kwamba marehemu  ameacha mjane, watoto watano na wajukuu wane, mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi amani.
 
About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / HUZUNI!!!! HATIMAYE MAZISHI YA ALIYEKUWA WAZIRI WA OFISI YA RAIS MENEJIMENTI YA UMMA BI. CELINA KOMBANI YAFANYIKA

No comments :