Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » VOLKSWAGEN YA PIGWA MARUFUKU USWIZ JE, WAJUA KWANINI SOMA HAPA......
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Taifa la Uswizi limepiga marufuku kuuzwa kwa magari aina ya Volkswagen ambayo yana mitambo ya iliyotengenezwa kudanganya majaribio ya gesi chafu.
Idara inayosimamia usafiri wa barabarani nchini humo inasema kuwa hadi magari 180,000 yataathiriwa.
Hilo ndilo pigo la hivi punde kwa kampuni hiyo ya Ujerumani tangu ikiri kuwa magari milioni 11 yanayotumia mafuta ya diesel kote duniani yamewekwa mitambo inayuweza kudanganya kuhusu gesi chafu.
Mauzo ya hisa za kampuni ya Volkswagen yameshuka katika kipindi cha wiki moja tangu kufichuliwa kwa sakata hiyo.
Mkurugenzi mpya wa kampuni ya Volkswagen amesema kuwa uchunguzi ulio wa kina na wazi utafanyika.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / VOLKSWAGEN YA PIGWA MARUFUKU USWIZ JE, WAJUA KWANINI SOMA HAPA......

No comments :