Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » » HENNINGSVÆR STADIUM UWANJA ULIOPO KATIKATI YA BAHARI...MAAJABU YAKE....{VIDEOZ}
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Ukizungumzia viwanja vikubwa vya soka duniani Wembley, The Nou Camp, The Maracana, The San Siro, Bernabeu. Allianz Arena havikosekani.

Lakini watalaam wamekuja na utundu mwingine na kuufanya uwanja huu wa mpira uliopo Norway kuwa wenye mvuto zaidi duniani kwa muonekano wake.

Huu ni uwanja ambao hauna majukwaa ya mashabiki na unatumika kwa wachezaji wanaocheza soka la ridhaa.

Unaweza ukaona mandhari yake na kukufanya kujiuliza maswali mengi ikiwemo ni vipi unamudu kuchukua watazamaji wachache kwa wakati mmoja kutokana na kuwa katikati ya bahari.

Cheki hapa jinsi wanavyoweza kuutumia kwa ustadi mkubwa

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / / HENNINGSVÆR STADIUM UWANJA ULIOPO KATIKATI YA BAHARI...MAAJABU YAKE....{VIDEOZ}

No comments :