Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » SASA KLOPP ANATAKA KUWAPA RAHA WANA ANFIELD
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Kocha Jurgen Klopp wa Liverpool amesema atafarijika zaidi kama atapata ushindi mkubwa kama alioupata dhidi ya Manchester City ugenini, katika uwanja wa nyumbani wa Liverpool Anfield na kuwapa raha mashabiki wake.

Tangu atue Liverpool majuma kadhaa yaliyopita, Jurgen Klopp amekua na rekodi nzuri zaidi katika mechi za ugenini ambapo aliweza kuwafunga Chelsea kwa goli 3-1 Stamford Bridge, akawafunga Manchester City 4-0 katika uwanja wa Etihad huku pia akitoa sare ugenini dhidi ya Tottenham Hotspur, pamoja na kushinda ugenini katika michuano ya Uropa ligi.

Wachambuzi nchini England wanaona ili Liverpool ipate chochote msimu huu wanahitaji kuhamishia fomu ya mechi za ugenini katika uwanja wao wa nyumbani ili kuvuna chochote msimu huu.

Tayari kocha Jurgen Klopp ameshasema mipango yake ya kukiongezea mbinu na morali kikosi hicho ili kipate matokeo katika uwanja wa nyumbani wa Anfield na kuwapa raha mashabiki.

Akiongelea kuhusu mbio za ubingwa Klopp amesema michuano ya Ulaya (champions league) ndio ya muhimu zaidi na kwamba ndio pesa iliko.

Anasema itakua ngumu lakini wanahitaji kujitahidi kufanya kitu ili kuona itakuaje mwisho wa msimu.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / SASA KLOPP ANATAKA KUWAPA RAHA WANA ANFIELD

No comments :