Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » TB JOSHUA AKUTANA NA DOKT AMAGUFULI KABLA Y AKUAPISHWA, AMFUATA LOWASSA NYUMBANI KWAKE
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Zimebaki saa chache kushuhudia tukio la kuapishwa kwa Rais mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, siku ya tukio hilo itakuwa tarehe 05 November 2015, Dar es salaam.

Zimenifikia picha pamoja na taarifa kutoka Ikulu kuhusu ujio wa Mhubiri wa Kanisa la Church of All Nations  lililopo Nigeria, TB Joshua ambaye tayari ametua Dar.

TB Joshua amekuja kama mmoja ya wageni watakaoshuhudia tukio hilo la kuapishwa kwa Rais wa awamu ya tano wa Tanzania.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / TB JOSHUA AKUTANA NA DOKT AMAGUFULI KABLA Y AKUAPISHWA, AMFUATA LOWASSA NYUMBANI KWAKE

No comments :