Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » WATANZANIA NA KUPUNGUZIWA TATIZO LA AJIRA, HII NDIO NJIA RAHISI ILIYOSEMWA HUKO MKOANI NJOMBE
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Njombe

habari na John Banda

WATANZANIA wametakiwa kuwapelewa watoto wao katika vyuo mbalimbali vya ufundi stadi elimu inayo zalisha ajira nyingi kuliko vyuo vikuu hapa nchini ili kuepukana na tatizo la ajira.

Inadaiwa kuwa watu wanaojiajiri ni wengi wanao toka katika vyuo vya ufundi kuliko wanano maliza vyuo vikuu kutokana na wanao toka vyuo vikuu wanategenea kuajiliwa huku wa vyuo vya ufundi wakijikita kujitengenezea ajira na kuachana na utegemezi kutoka kwa wazazi.

Kauli hiyo imetolewa na mwenyekiti wa bodi ya vyuo vya Veta nyanda za juu inayo jumuisha mikoa ya Iringa, Ruvuma na Njombe, Kabaka Ndenda,  katika mahafari ya kwanza kwenye chuo pekee ya wilaya cha Veta Makete, alisema kuwa  vijana wengi wanao maliza katika vyuo vya ufundi wanauhakika wa kujiajiri kuliko wanao enda vyuo vikuu.

Amesema kuwa wananchi wamekuwa wakiona ni bora kumpeleka mtoto wake katika chuo kikuu kuliko kumpeleka katika vyuo vya ufundi. 

Mkuu wa chuo hicho Ramadhani Sebo amesema wanafunzi hao wanaenda kuajirika licha ya kuwa na changamoto za vifaa vya kufundishia katika baadhi ya fani zinazo fundishwa katika chuo hicho.
Ameongeza chuo hicho kilianza na kozi mbili na sasa kina kozi 4 huku kikifundisha masomo mtamboka.
 
Wanafunzi nao hawakua mbali kuiomba serikali kuongeza uwezeshwaji kwa vijana wanaojiajiri

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / WATANZANIA NA KUPUNGUZIWA TATIZO LA AJIRA, HII NDIO NJIA RAHISI ILIYOSEMWA HUKO MKOANI NJOMBE

No comments :