Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » ISRAEL NA UTURUKI KUREJESHA MAHUSIANO
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Israel na Uturuki zimefikia makubaliano ya awali na kufufua uhusiano wa kidiplomasia, afisa wa Israel amesema.

Uhusiano kati ya nchi hizo mbili ulivurugwa baada ya wanajeshi wa majini wa Israel kuvamia meli za Uturuki zilizokuwa zikielekea Gaza mwaka 2010. Wanaharakati kumi wa Uturuki waliuawa.

Chini ya maafikiano ya sasa, Israel itafidia familia za waliouawa, nayo Uturuki iondoe madai yote dhidi ya Israel, afisa huyo amesema.

Hakujakuwa na thibitisho lolote rasmi kutoka kwa pande zote kwa sasa.

Makubaliano hayo yanadaiwa kufikiwa kwenye mkutano kati ya maafisa wakuu wa Usrael na Uturuki nchini Uswizi.

Kwa mujibu wa afisa huyo, ambaye jina lake halikutajwa, mataifa hayo pia yatabadilishana mabalozi.
Mazungumzo pia yataanza kujadili kuwekwa ka bomba la kusafirisha gesi kutoka Israel hadi Uturuki, afisa huyo ameongeza.

Uturuki kwa sasa inazozana na Urusi baada ya kudungua ndege ya Urusi.

Israel na Uturuki zilikuwa marafiki hadi Israel iliposhambulia meli hizo zilizokuwa zikisafirisha misaada kwenda Gaza, zikikiuka agizo la Israel la meli kutoingia Gaza.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / ISRAEL NA UTURUKI KUREJESHA MAHUSIANO

No comments :