Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » NIMEKUWEKEA PICHA KIBAO ZA WAFANYABIASHARA WA SOKO LA MAJENGO DODOMA WAKIFANYA USAFI KATIKA MFEREJI ULIOKUWA UMEGEUKA KUWA DAMPO, HII NI BAADA YA MAKUBALIANO YA KUSAFISHA KABLA YA DISEMBA 9
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Habari

Kutokana na mzozo baina ya wafanyabiashara wa soko kuu la majengo mkoani hapa na manispaa uliodumu sasa kwa siku kadhaa Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma,Clemens Mkusa ametoa siku tano kwa ajili ya ukarabati wa mtaro wa maji machafu uliopo katikati ya Soko hilo kwani wasipofanya hivyo vibanda vilivyopo kandokando vitavunjwa.

Kauli hiyo imekuja mara baada ya juzi jumanne Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri MkuuTawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)Jumanne Sagini kufanya ziara ya dharura katika soko hilo na  kuamuru baadhi ya vibanda vibomolewe ili kutoa nafasi ya kufanya usafi  katika mfereji wa soko hilo.

Akizungumza   Mjini hapa na viongozi wa Wafanyabiashara katika kikao kilichofanyika katika ofisi za Manispaa,Kaimu Mkurugenzi huyo amesema wamewapa siku tano za kuhakikisha mtaro huo unakuwa safi.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Umoja wa Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Majengo,Godson Rugazama amesema wapo tayari kutii agizo la serikali katika kuweka mazingira ya usafi kwenye mtaro huo.

Amesema kilichokuwepo ni kutupiana mzigo kati ya Mamlaka ya ustawishaji Makao Makuu (CDA) na Manispaa ni nani mwenye mamlaka ya kufanya usafi wa mtaro.

Amesema mara baada ya kuonekana CDA ndio wenye mamlaka,Manispaa hawakuwapatia fedha za kusafisha mtaro huo hali iliyofanya mrundikano wa uchafu katika eneo hilo.

Hata hivyo katika makubaliano yao imeonekana kuwa wafanyabiashara hao wametii amri hiyo mara baada ya jana siku ya alhamis kuonekana wakisafisha mfereji huo huku wakidai kuwa katika makubaliano yao ni kwamba unapashwa kuwa safi kabla ya disemba 9 ambayo ndio siku ya uhuru, siku ambayo imevunjwa kwa maana hiyo kutakuwepo na zoezi la usafi kwa nchi nzima ikiwemo mkoani hapa ambapo kwa siku kadhaa hivi sasa usafi wa mazingira umekuwa ukiendelea huku watumishi wanaokwenda kinyume na matakwa ya viongozi wa juu yao wamekuwa wakiambulia vibao.

 ukiachana na hilo pia hapa chini nimekuwekea sauti ya Anthony Mavunde akizungumzia suala hilo na kutoa suluhisho>>>>biinyeza hapa chini

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / NIMEKUWEKEA PICHA KIBAO ZA WAFANYABIASHARA WA SOKO LA MAJENGO DODOMA WAKIFANYA USAFI KATIKA MFEREJI ULIOKUWA UMEGEUKA KUWA DAMPO, HII NI BAADA YA MAKUBALIANO YA KUSAFISHA KABLA YA DISEMBA 9

No comments :