Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » HAPPY BIRTHDAY MR ABHISHEK BACHCHAN...
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Abhishek Bachchan ni msanii wa filamu nchini india ambaye hii leo February 5 amefikisha miaka 40, na alizaliwa mnamo February 5 mwaka 1976 huko Mumbai, Maharashtra, India.

Ni mwigizaji,producer na mwimbaji wa nyimbo alianza kuigiza mwaka 2000 na ni mume wa Aishwarya Rai Bachchan alimuoa mwaka 2007,na ni baba wa motto mmoja pia ni mtoto  wa Star  Amitabh Bachchan na mama yake ni Jaya Bachchan.

Ni star wa Bunty Aur Babli (2005), Dhoom 2 (2006), Guru (2007), Dostana (2008) na Bol Bachchan (2012). Pia alishirikishwa katika filamu za Dhoo (2013) and Happy New Year (2014).
HAPPY BIRTHDAY ABHISHEK BACHCHAN………..

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / HAPPY BIRTHDAY MR ABHISHEK BACHCHAN...

No comments :