Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » IMANI NA MAWAZO YA KIZAMANI YAMEWASABABISHIA VIFO WAJANE WAWILI MKOANI MBEYA..KIPINDUPINDU NDIO CHANZO
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Wajane wawili wa Kitongoji cha Bulinda wilayani Kyela wameuawa kwa mapanga wakidaiwa kusambaza ugonjwa wa kipindupindu baada ya kufiwa na waume zao katika eneo hilo.

Waliouawa ni Geneli Kapwela (65) na Rahabu Bungulu (70) waliokuwa wakiishi peke yao.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Ahmed Msangi alisema jana kuwa wajane hao waliuawa juzi baada ya kipindupindu kuhusishwa na imani za kishirikina.

Takwimu za mauaji toka polisi zinaonyesha karibu watu wawili wanauawa mkoani Mbeya kwa imani za kishirikina

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / IMANI NA MAWAZO YA KIZAMANI YAMEWASABABISHIA VIFO WAJANE WAWILI MKOANI MBEYA..KIPINDUPINDU NDIO CHANZO

No comments :