Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » KWA NAMNA HII NINA WASIWASI NA COSOTA KUHUSU SUALA LA KULIPIA NYIMBO ZA WASANII, HAKUNA TAKWIMU HALISI YA NYIMBO ZILIZOPIGWA, NYIMBO ZA AINA GANI LAKINI UNAPANGIWA GHARAMA UNAZODAIWA TENA NA DEADLINE
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

nashikwa na ukakasi juu ya ili suala la vyombo vya habari kulipia nyimbo za kitanzania zinazopigwa katika kituo husika.
sasa naliona kuwa ki bussiness zaidi kwani kwa jinsi ninavyoitazama hii document hapa napatwa na wasiwasi kidogo..gharama ni 4,97883.30 sijui hata ni za nini na atazitumia nani na wapi duh...Mr Magu Rais wangu mnyenyekevu wape muda viongozi wetu hao kufafanua zinapotoka hizo pesa alafu waendelee kukusanya mapato yao halali.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / KWA NAMNA HII NINA WASIWASI NA COSOTA KUHUSU SUALA LA KULIPIA NYIMBO ZA WASANII, HAKUNA TAKWIMU HALISI YA NYIMBO ZILIZOPIGWA, NYIMBO ZA AINA GANI LAKINI UNAPANGIWA GHARAMA UNAZODAIWA TENA NA DEADLINE

No comments :