Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » HISPANIA IMEDORORA MBELE YA CROATIA,YACHAFULIWA REKODI, RAMOS AKOSA PENALTY, PICH A,VIDEO NA MATOKEO MENGINE YOTE YA EURO YAKO HAPA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Kwa mara ya kwanza baada ya muda mrefu kutokufungwa katika michuano ya Euro mabingwa watetezi walikuwa hawajapoteza mchezo katika michezo 14 iliyopita wakiwa na rekodi ya ulaya katika mashindano hayo, lakini mbele ya Croatia wamekubali kupoteza kwa magoli mawili kwa moja muda mchache uliopita baada ya wao kutangulia kufunga kupitia kwa Alvaro Morata dakika ya saba tu ya mchezo.

lakini dakika ya 45 ya mchezo mchezaji Nikola Kalinic wa Croatia akasawazisha, lakini dakika ya 72 Spain walikosa penalti baada y aSergio Ramos kumpasia kipa wa 
Croatia Danijel Subasic, lakini dakika ya 87 Ivan Perisic akaifungia Croatia goli la pili na kukamilisha mchezo.

Tazama picha baadhi za mchezo huo...

MATOKEO MENGINE
June 21
FT
N.Ireland
Germany
FT
Ukraine
Poland

June 21
FT
Croatia
Spain
FT
Czech Republic
Turkey

*********************************************************************************************
hii hapa ndio video y amagoli yote y amchezo huo

msimamo kundi D

Group D

TeamWDLGDPoints
Croatia210+27
Spain201+36
Turkey102-23
Czech Rep012-31

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / HISPANIA IMEDORORA MBELE YA CROATIA,YACHAFULIWA REKODI, RAMOS AKOSA PENALTY, PICH A,VIDEO NA MATOKEO MENGINE YOTE YA EURO YAKO HAPA

No comments :