Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » KITUO CHA UGUNDUZI WA TB KWA KUTUMIA PANYA BUKU
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Kituo cha ugunduzi wa ugonjwa wa kifua kikuu kwa kutumia panya buku kimezinduliwa leo jijini Dar es Salaam Tanzania.

Kituo hicho cha pili kwa Tanzania kinaratibiwa na shirika lisilo la kiserikali la Apopo lenye makao makuu nchini Ubelgiji.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kituo hicho Meneja wa mpango huo nchini, Dk Georgies Mgode amesema panya hao wanasaidia kugundua ugonjwa wa kifua kikuu ndani ya muda mfupi.

Amesema tangu panya hao wameanza kufanya kazi wamefanikiwa kugundua wagonjwa 10000 ambao vipimo vya hospitali vilishindwa kugundua.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / KITUO CHA UGUNDUZI WA TB KWA KUTUMIA PANYA BUKU

No comments :