Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » BAADA Y AMBWEMBWE ZOOTE SASA ‘KASI BENNETT’ AKUBALI PETE YA UCHUMBA KUTOKA KWA MWANARIADHA USAIN BOLT.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Mashabiki wa riadha wameshangazwa hivi karibuni na tabia ya Usain Bolt ya kubadilisha wanawake akiwa Rio kwaajili ya michuano ya Olyimpic ila jambo hilo halijahatarisha mahusiano yake ya kimapenzi na mpenzi wake wa muda mrefu kama Kasi Bennett.
Siku chache baada ya kurudiana na Bennett, wawili hawa walienda kwenye visiwa vya Bora Bora na huko Usain Bolt alimvalisha mpenzi wake pete ya uchumba.
Kwenye snap chat ya Bolt staa huyu ameandika ujumbe kuwa mpenzi wake amekubali kuivaa na kuwa mchumba “She said yes,” .
Mama yake Bolt Jennifer Bolt amepokea taarifa hizi kwa furaha sababu alitaka wajukuu kwa muda mrefu. 

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / BAADA Y AMBWEMBWE ZOOTE SASA ‘KASI BENNETT’ AKUBALI PETE YA UCHUMBA KUTOKA KWA MWANARIADHA USAIN BOLT.

No comments :