Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » IKIWA ULIKUWA MZEMBE KATIKA SOMO LA MAARIFA YA JAMII, GEOGRAPHY N.K UNAWEZA KUPITIA HAPA UIFAHAMU MITO MITANO MIKUBWA DUNIANI....PICHAZZZZ
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JINA LA MTO
UNAPOPATIKANA
UREFU

The Nile River

Africa

6,650 km  (4,132 miles)
The Amazon River

South America

6,400 km  (3,976 miles)
The Yangtze River

Asia (China)
6,300 km  (3,915 miles)
The Mississippi/Missouri River

America kaskazin {USA}

6,275 km  (3,899 miles)
TheYenisei/Angara/Selenga River

Europe/Asia (Russia/Mongolia]
5,539 km  (3,441 miles)

Chanzo cha mto ni mahali ambako mto husika unaanza.

Mara nyingi ni chemchemi yaani mahali ambako maji yaliyokusanyika chini ya ardhi yanatoka nje na kuonekana kwenye uso wa ardhi.
Kwa mito mingine inaweza kuwa mahali ambako mito miwili inaungana na watu wameamua kupatazama kama mto mpya unaanza hasa kama mito asilia haina tofauti sana katika ukubwa wao kwa hiyo haiwezekani kusema mto mmoja unaingia katika mto mwingine.

utakuwa unaifahamu mito mingi sana ulimwenguni kwa maumbo na kimo chake, lakini kwa taarifa yako mto mrefu kuliko yote duniani ni mto kutoka Afrika { Afrika Kaskazini} unatokea nchini Misri unaitwa Mto Nile.

 nimekuwekea Orodha ya mito mitano mirefu zaidi duniani itazame hapa katika muonekano wake pichazzzzzzzz!!!
Mto Nile
MTO NILE

Mto wa Nile hujulikana pia kama Naili; kwa kiarabu  {‎ an-nīl) ni mto mkubwa upande wa mashariki ya bara la Afrika. Mara nyingi hutajwa kuwa pia mto mrefu kabisa duniani kushinda mto Amazon . Kutoka Ziwa la Viktoria Nyanza hadi mdomo wake kwenye Bahari ya Mediteranea Nile inahuusiano na nchi za Uganda, Sudan Kusini, Sudan na Misri kwa urefu wa km 6,650.

Beseni ya Nile hukusanya maji ya eneo linalojumlisha 10% za eneo la Afrika yote au km² 3,349,000. Takriban watu milioni 250 hukalia beseni hiyo.
unadhani maji yake yana matumizi gani kwa afrika? matumizi ni mengi hata kwa baadhi ya jamaa zangu wa kule kagera kikubwa tujivunie yetu. 

AMAZON RIVER

Unapozungumzia mto Amazon unakuwa unazungumzia mto wa pili kwa urefu duniani kwa urefu wa takribani kilomita 6,400.

mlima huu unapatikana katika bara la Amerika kusini, lakini kuhusu
 urefu hakuna mapatano bado kama Nile au Amazonas ni mto mrefu duniani. Makadirio hutegemea ni tawimto upi mwenye chanzo cha mbali zaidi unaokubaliwa na wataalamu. 1969 urefu wake ulipimwa kuwa 6.400 km.

Amazonas ina tawimito zaidi ya 10,000 na kati ya hizi kuna 17 zenye urefu wa zaidi ya 1,600 km zikishinda mito kama Senegal, Gambia au Nile ya buluu.

Upana wa mto ni wa kilomita kadhaa kufika hadi 100 km wakati wa mafuriko ya kila mwaka. Delta ya Amazonas ina upana wa mamia ya kilomita; ndani yake kuna kisiwa cha Marajó chenye eneo la 49,000 km² ambalo ni kubwa kushinda nchi kama Rwanda au Burundi.

mto huu kwa kireno hujulikana kama Rio Amazonas

MTO YANGTZE

 Mto Yangtze pia hujulikana kama Changjiang) ni mto mkubwa nchini China na pia mto mrefu wa Asia yote. Duniani huhesabiwa kama mto mrefu wa tatu baada ya Amazon na Mto Nile).

Urefu wake ni kilomita 6,300 nauko ndani ya China.

Chanzo chake kiko katika nyanda za juu za Tibet. Inafuata mwelekeo wa kusini-mashariki hadi kilomita 1,500 baada ya chanzo. 
 
Kuna miji mingi mikubwa inayotegemea mto huu na machafuko kutoka ya viwanda vyao yamekuwa tatizo.
Katika historia mto Yangtze ulikuwa mpaka kati ya China ya kaskazini na China ya kusini.

Mto Mississippi ni mto mkubwa wa unapatikana marekani na ni mto mkubwa nchini humo pia ni kati ya mito mirefu duniani ukishika nafasi ya nne nyuma ya Mto Nile,Amazonas na mto Yangtze.

mto huu chanzo chake kipo kaskazini mwa Marekani kwenye ziwa Itasca katika jimbo la minnesota. unapitaa katika majimbo ya  majimbo ya minnesota,wisconsin,Iowa,Illinois,Missouri,Kentucky,Tennessee,Arkansas,Mississippi,Louisiana na kuishia katika Ghuba ya Mexico karibu na mji wa New Orleans

 Mto huu wenye urefu wa kilomita zipatazo 5,539 unapatikana huko Mongoria na ni mto mkubwa zaidi eneo hilo na maji yake unayamwaga katika ziwa  Baikal

huu ndio mto ulioshika namba tano katika orodha ya  mito mitano mikubwa zaidi duniani katika rekodi za ulimwengu hu.

Kwa msaada wa mtandao nimeweza kukuletea hii .....mwandaaji wako ni Denice John Kazenzele.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / IKIWA ULIKUWA MZEMBE KATIKA SOMO LA MAARIFA YA JAMII, GEOGRAPHY N.K UNAWEZA KUPITIA HAPA UIFAHAMU MITO MITANO MIKUBWA DUNIANI....PICHAZZZZ

No comments :