Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » MWANAMKE WA MAKAMO AUAWA KWA KUCHINJWA NJE YA NYUMBA YAKE MTAA WA UDOM DODOMA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Mwili wa Marehemu Mdala Ndeyaa ukiwa umefunikwa na shuka alipokutwa ameuawa kwa kuchinjwa shingo na watu/ mtu asiyefahamika, huku Damu nyingi zikiwa zimetapakaa.

Askari kanzu wakifanya mahojiano na watu mbalimbali kuhusiana na tukio la mauaji ya kutisha ya Mdala Ndeyaa aliyeuawa kwa kuchinjwa.

Askari wakikagua mwili wa marehemu Mdala Ndeyaa aliyekutwa kauawa kwa kuchinjwa nyumbanike katika Mtaa wa UDOM kata ya Iyumbu Manispaa ya Dodoma.

Wakazi wa Kata ya Iyumbu wakiwa wamekusanyika kuangalia mwili wa Marehemu Mdala Ndeyaa mwenye umri wa makamo aliyekutwa kauawa mita chache  nje ya nyumba yake.

Picha zote na John Banda
mhariri: Denice J. Kazenzele
imewekwa  08/02/2016

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / MWANAMKE WA MAKAMO AUAWA KWA KUCHINJWA NJE YA NYUMBA YAKE MTAA WA UDOM DODOMA

No comments :