Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » EDWARD KISUSU ANAKULETEA UZINDUZI WA ALBAM MPYA YA "NI WEWE BABA" NI SIKU YA VALENTINE DAY USIKOSEEE!!
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Kijana wa kitanzania na anayempenda Mungu sasa kaamua kukuletea Tamasha la INJILI katika uzinduzi wa Albam yake mpya inayoitwa "NI WEWE BABA UMENIITA" Uzinduzi huo utafanyika katika kanisa la chuo cha Biblia hapa mkoani Dodoma...

Kaka, Dada, Mama Baba,Jirani,Rafiki sogea ili uweze kushuhudia uwezo wa mungu maama siku zote kama huamini mi naamini hapo utaamini vipaji vya Muumba vinavyoweza kumtumikia Muumba wao.

Ni Siku ya kuoneshana upendo yaani "VALENTINE DAY" Siku ya wapendanao ..Feb 14.2016 hapa mkoani Dodoma.

Watakaotumbuiza ni pamoja na The winners Band,Elizabeth Nshimanje kutoka dar es salaam,Samwel Mwandoboka kutoka Dodoma,Ellyhuruma Timothy kutoka dodoma na wengine wengi mnoooo utawashuhudia wakionesha vipaji vyao.

KUMBUKAA!! KIINGILIO NI MIGUU YAKO TYUUUUUUUUUUU!!!

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / EDWARD KISUSU ANAKULETEA UZINDUZI WA ALBAM MPYA YA "NI WEWE BABA" NI SIKU YA VALENTINE DAY USIKOSEEE!!

No comments :