Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » JECHA ATANGAZA WAJUMBE 22 VITI MAALUM ZANZIBAR WOTE NI WA CCM
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imetangaza majina 22 ya wajumbe wa viti maalumu wa Baraza la Wawakilishi, wote kutoka CCM.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jecha Salim Jecha, wajumbe hao ni Salama Aboud Talib, Shadya Mohamed Suleiman, Bihindi Hamad Khamis, Salma Mussa Bilal, Mwanaidi Kassim Mussa, Panya Ali Abdalla, Mgeni Hassan Juma na Zaina Abdalla Salum.

Wengine ni Salha Mohammed Mwinyijuma, Zulfa Mmaka Omar, Lulu Msham Abdalla, Wanu Hafidh Ameir, Saada Ramadhani Mwenda, Tatu Mohamed Ussi na Amina Idd Mabrouk.

Jecha aliwatangaza wawakilishi wengine wa viti maalumu kuwa ni Choum Kombo Khamis, Mtumwa Suleiman Makame, Mwantatu Mbaraka Khamis, Riziki Pembe Juma, Viwe Khamis Abdalla, Hamida Abdalla Issa na Hidaya Ali Makame.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / JECHA ATANGAZA WAJUMBE 22 VITI MAALUM ZANZIBAR WOTE NI WA CCM

No comments :