Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » BAADA UA CHAD KUJITOA SASA STARS INASALIWA NA POINT MOJA TU KULINGANA NA MAFARAO
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Chad imejitoa kwenye michuano ya kuwania kucheza Kombe la Afcon.

Kwa uamuzi huo, maana yake mechi kati ya Chad na Taifa Stars iliyokuwa ichezwe kesho kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, haitakuwepo.

Maofisa wa TFF wamethibitisha kupotea taarifa hizo, lakini hata hivyo wakasisitiza si wasemaji wakuu.

"Katika hili wahusika wakuu ni Caf, hivyo tunaliacha kwa kamisaa wa mchezo ambaye ni mwakilishi wa shirikisho hilo. Yeye ndiye atatoa taarifa rasmi.

"Lakini sisi tumeelezwa kuwa Chad walikosa nauli ndiyo ikawa chanzo," kilieleza chanzo kutoka ndani ya TFF.

"Hakika haya ni masikitiko makubwa kwa kuwa wanatutishwa mzigo kwa maana ya kupokwa pointi tatu tulizowashinda ND'jamena."

CREDIT: Sallehjembe

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / BAADA UA CHAD KUJITOA SASA STARS INASALIWA NA POINT MOJA TU KULINGANA NA MAFARAO

No comments :