Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » MARCO RUBIO AJIONDOA UCHAGUZI MAREKAN
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Seneta wa Florida Marco Rubio amesitisha kampeni yake ya kusaka tiketi ya kuwania urais kupitia chama cha Republican Marekani baada ya kushindwa nyumbani katika mchujo wa chama hicho.
“Hali kwamba nimefika mbali hivi ni ishara ya jinsi Amerika ilivyo nchi ya kipekee,” alisema akitangaza kujiondoa.
haujawa mpango wa Mungu niwe rais wa Marekani 2016 amesema Rubio
Mgombea anayeongoza katika chama hicho, mfanyabiashara Donald Trump ambaye amekuwa akimshambulia sana Marco Rubio siku za hivi karibuni, amempongeza kwa kuendesha “kampeni kali”.
Trump, akihutubia mkutano katika hoteli ya Mar-a-Lago, amesema Rubio ni mgombea “mkali, mwerevu” na mwenye matumaini makubwa siku za usoni.
Mfanyabiashara huyo tajiri kutoka New York ameshinda katika majimbo ya North Carolina, Illinois na Florida katika mchujo wa chama cha Republican Jumanne.
John Kasich ameshinda jimbo lake la kwanza kabisa, kwa kupata ushindi jimbo lake la Ohio.
Ted Cruz, anayemfuata Trump hajashinda jimbo lolote kati ya majimbo yaliyoshiriki mchujo Jumanne.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / MARCO RUBIO AJIONDOA UCHAGUZI MAREKAN

No comments :