Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » ROBERT MUGABE: BADO NINA NGUVU
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Kiongozi wa muda mrefu wa Zimbabwe Robert Mugabe amejibu kwa mzaha swali kuhusu mrithi wake na kusema bado anaweza kurusha ngumi.
Rais Mugabe aliulizwa nani atakayemrithi wakati wa sherehe ya kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa.
Kiongozi huyo ambaye amekuwa uongozini tangu 1980 ametimiza umri wa miaka 92.
"Mbona unamtaka mrithi?" alimwuliza aliyekuwa akimhoji.

“Unataka nikutwange ngumi uanguke chini ndipo uamini kwamba bado nina nguvu?”, gazeti la serikali ya Herald limemnukuu.
Bw Mugabe, alisema hatastaafu katikati mwa muhula wake wa sasa, ambao ulianza 2013.“Mbona nikubali kuendelea kuongoza iwapo nina maradhi au ninaugua au siwezi kuongoza?” aliuliza.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / ROBERT MUGABE: BADO NINA NGUVU

No comments :