Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » WANANCHI WA KATA ZA BUJUGO NA KISHOGO WAKOSA MAWASILIANO YA USAFIRI
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Wananchi wa kata za Bujugo na Kishogo zilizoko mkoani Kagera wamekumbana na athari za mvua zinazoendelea kunyesha mfululizo mkoani huo kwa kukosa Mawasiliano ya usafiri baada ya kivuko cha serikali cha Kyanyabasa ambacho husafirisha abiria na mizigo kati ya kata hizo kupitia mto Ngono kukwama baada ya kamba ambazo uongoza na kulinda usalama wa kivuko hicho kunaswa na Tingatinga iliyosafirishwa na mkondo wa maji ya mvua.

Kutokana na athari hiyo wananchi katika kata za Kishogo na Bujugo kwasasa kuvuka mto Ngono kutoka sehemu moja kwenda nyingine wanatumia usafiri wa mitumbwi midogo inayohatarisha usalama wa maisha yao ambayo hutumiwa na wavuvi kuvua samaki ndani ya mto huo  yenye uwezo wa kubeba abiria mmoja mmoja, kufuatia hali hiyo baadhi ya wananchi  wamesema kwa sasa wanasafirishwa kwa shilingi 500 badala ya shilingi 200 hivyo wameiomba serikali kutafuta uwezekano wa kujenda daraja katika eneo hilo ili waweze kuondoka na usumbufu wanaoupata pale kivuko hicho kinapopata hitilafu.

Itv

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / WANANCHI WA KATA ZA BUJUGO NA KISHOGO WAKOSA MAWASILIANO YA USAFIRI

No comments :