Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » KAMATI YA RUFAA YA NIDHAMU YA TFF INAKAA MUDA MCHACHE UJAO
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Kamati ya Rufaa ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), leo Jumanne Mei 3, 2016 saa 5:00 asubuhi inatangaza uamuzi wa rufaa nane zilizowasilishwa na kujadiliwa za viongozi, mchezaji na timu tatu zilizoshiriki Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara 2015/2016.
 Kamati hiyo itatangaza uamuzi huo mbele ya waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Mikutano wa ofisi za TFF, zilizoko kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, Ilala jijini Dar es Salaam.
Jumla ya rufaa nane zinazohusu timu, kocha, viongozi na mchezaji mmoja zilijadilikuwa na kamati hiyo kwa Jumapili Mei mosi, 2016 kwenye ofisi za TFF jijini.
Rufaa zilizojadiliwa kwenye kikao hicho ni za:
  1. Timu ya Geita Gold
  2. Choki Abeid ambaye ni Kocha Msaidizi wa timu ya soka ya Geita Gold FC
  3. Denis Richard Dioniz – Kipa wa Geita Gold
  4. Fatel Rhemtullah – Katibu wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Tabora
  5. Saleh Mang’ola – Mwamuzi wa Soka wa Mkoa wa Dodoma
  6. Timu ya Soka ya Polisi Tabora
  7. JKT Oljoro Fc ya Arusha
  8. Yusufu Kitumbo – Mwenyekiti wa Chama cha Soka Mkoa wa Tabora
Wadau hao wa soka walikata rufaa dhidi ya uamuzi wa Kamati ya Nidhamu baada ya kamati hiyo kuwatia hatiani na kuwaadhibu kwa makosa ya kupanga matokeo ya michuano ya Ligi Daraja la Kwanza. Wakata rufaa wote walihudhuria kikao cha rufaa zao.   

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / KAMATI YA RUFAA YA NIDHAMU YA TFF INAKAA MUDA MCHACHE UJAO

No comments :