Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » » MSIBA MKUBWA WA DUNIA!!!! MOHAMMAD ALI BONDIA WA ZAMANI AFARIKI DUNIA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Bondia wa zamani Muhammad Ali, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo akiwa na umri wa miaka 74. Kwa mujibu wa taarifa ya msemaji wa familia yake, Ali amekufa baada ya kuugua ugonjwa wa Parkinson kwa miaka 32. 

Bob Gunnell, msemaji wa familia ya Ali amesema gwiji huyo wa zamani wa masumbwi duniani alikuwa amelazwa katika hospitali ya Phoenix katika jimbo la Arizona, akiwa na matatizo ya kupumua wiki hii. 

Aliwahi kulazwa hospitali mwaka 2014 baada ya kuugua homa ya mapafu, na kisha akalazwa tena mwaka uliopita kutokana na maambukizi katika njia ya kupitishia mkojo.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / / MSIBA MKUBWA WA DUNIA!!!! MOHAMMAD ALI BONDIA WA ZAMANI AFARIKI DUNIA

No comments :