Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » UFUNGUZI WA EURO 2016 UFARANZA,WENYEJI KIDOOOOGO WAWALIZE MASHABIKI WAO.....{VIDEOZ}
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Jana June 10 2016 Ufaransa ambao ndio wenyeji wa michuano ya Euro 2016, wameanza kucheza mechi ya ufunguzi dhidi ya RomaniaUfaransa wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 2-1, huku hali ya umiliki wa mchezo wakiwa wamemiliki mpira kwa asilimia 51 na Romania 41.
Mechi za leo june 11>>>>
16:00
Albania
Switzerland
19:00
Wales
Slovakia
22:00
England
Russia

tazama hapa magoli yote matatu>>>>

Magoli ya Ufaransa yamefungwa na Oliver Giroud dakika ya 57, goli ambalo lilidumu kwa dakika 8 tu na dakika ya 65 Romania wakasawazisha kwa mkwaju wa penati iliyopatikana baada ya Patrice Evra kucheza faulo na Bogdan Stancu kuitumia nafasi hiyo, furaha ya Ufaransa ilirejeshwa na shuti la Dimitri Payet dakika ya 89 baada ya kuingia wavuni.
hizi ni takwimu za mchezo mzima>>>>>>>>
statistics :
6
shots on target
2
7
shots off target
5
65
possession (%)
35
5
corners
4
5
offsides
1
6
fouls
14
1
yellow cards
3
9
goal kicks
9
0
treatments
9

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / UFUNGUZI WA EURO 2016 UFARANZA,WENYEJI KIDOOOOGO WAWALIZE MASHABIKI WAO.....{VIDEOZ}

No comments :