Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » ALICHOKISEMA ADELLE KUHUSU ULAJI WA PIZZA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Adele staa wa hit single ya ‘hello’ ambaye amekuwa kwenye headlines za burudani Marekani na dunia nzima kwa kuuza nakala nyingi za single yake ya ‘Hello’ huku video yake ikiwa imegusa watazamaji zaidi ya bilioni moja ‘1,671,902,030’ kwenye mtandao wa YouTUBE.  
August 12 2016 ameingia kwenye headline baada ya kuwambia mashabiki kwamba imembidi kuacha kula pizza ili kulinda sauti yake. Staa huyo mwenye umri wa miaka 28 aliwaambia mashabiki akiwa Los Angeles kwamba nyanya zilizopikwa zinaweza kuharibu koo na sauti yake……
>>>’mimi niko Marekani siwezi kula pizza tena, ni mbaya zaidi ya Romeo na Julieth, kama Shakespeare angekuwa hai angeweza kuandika kuhusu hilo’

millardayo.com

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / ALICHOKISEMA ADELLE KUHUSU ULAJI WA PIZZA

No comments :