Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » AZAM FC WATAMBA KULITWAA TAJI LA NGAO YA HISANI KESHO DHIDI YA YANGA SC
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Timu ya mpira wa miguu ya Wanarambaramba Azam Fc imeeleza kuwa imejipanga vizuri katika kuhakikisha wanapata ushindi katika mchezo wao wa kuwania Ngao ya Jamii  watakapokutana kuchuana vikali dhidi ya timu ya Dar es salaam Young Africans – (YANGA) hapo kesho katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Katika mechi hiyo inayotarajiwa kuwa na ushindani wa hali ya juu na hii ni kutokana na mazoezi na mipango mipya katika timu hizo mbili ambazo zimekuwa zikikutana na kukamiana katika michezo yao.
Akizungumza mapema leo, Msemaji wa timu ya Azam Fc, Bwana. Jaffar Iddi Maganga amesema kuwa mbali na mabadiliko ya kimfumo wa kiungozi katika timu hiyo wapo tayari na wamejiandaa vizuri kupambana na Yanga hapo kesho
“Azam FC imefanya mabadiliko kwenye benchi la ufundi, kutoka kwenye uongozi wa kiingereza wa Koha Stewart  na jopo lake na kuja kwa Wahispania Zebensul Rodriguez na msaidizi wake”  amesema Maganga
Ameongeza Kuwa:  “Wachezaji wamekua katika mtihani mgumu wa kutoka kwenye mfumo mwingine na kufata mfumo mwingine wa kimichezo, lakini kikubwa ni kwamba wachezaji wameweza kuadapt vizuri mafunzo yake” ameongeza Maganga.
Na Hashim Ibrahim (UDSM-SJMC).

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / AZAM FC WATAMBA KULITWAA TAJI LA NGAO YA HISANI KESHO DHIDI YA YANGA SC

No comments :