Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » HAMISA MABETO NA LULU WAMEANDIKA UJUMBE MZITO INSTAGRAM, KUMTAKIA HERI YA KUZALIWA 'MAJAY'
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Baada ya Wadau mbalimbali pamoja na watu wa karibu wanamtakia Majay, heri ya mafanikio katika maisha yake,katika siku yake ya kuzaliwa. 

Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambaye anadaiwa kuwa kwenye mahusiano na bosi huyo, amekuwa ni mmoja kati wa watu waliomtumia ujumbe wa heri ya mafanikio huku ujumbe wake ukionyesha ukaribu wa kimahusiano zaidi. 

“Juhudi zako, uchapakazi na ukarimu ni vitu vichache tu kati ya vingi ninavyojivunia na nakujifunza kutoka kwako, I think sisi ni perfect Combo,” aliandika Lulu instagram. 

Aliongeza, “Nikiwa mkubwa nataka kuwa kama wewe bosi wangu (I mean kuwa CEO na vitu kama hivyo) Juhudi zako tunaziona, tuko nyuma yako na tunakuombea mafanikio zaidi na zaidi. Yesu Wangu akutunze kwa ajili yangu na familia yetu kwa ujumla. Happy birthday baba G, My successful,” 

Tetesi za mahusiano ya Majay na Lulu zilishika kasi zaidi baada ya wawili hao kuongozana kwenda Nigeria katika utoaji wa Tuzo ya Africa Magic Viewers Choice (MVCA) 2016.
Hamisa Mobetto 

Wakati huo huo ni kama vile Hakuna tena bifu kati ya Lulu na Hamisa Mobetto – angalau kwa kile ambacho Hamisa amekiandika kumpongeza mzazi mwenzake. 

Hamisa amezaa na CEO huyo wa EFM mwenye uhusiano na Elizabeth Michael ‘Lulu’ na kuna wakati warembo hao walidaiwa kurushiana vijembe.

Majay anasherehekea siku yake ya kuzaliwa na Hamisa amepost picha ya DJ huyo mkongwe akiwa na Lulu na kuandika:

Happiest birthday To BaBa Squad (Baba caesar, Baba Fantasy& Baba G ..akija in Shaa Allah). Thank You for being baba bora wa mtoto wangu that am sure any woman could ask for katika hii dunia .

Thank You for taking good care of me & wanetu Katika Siku yako hii i wanna wish you all the best kwa hii dunia M/Mungu akufungulie milango yote yenye kheri na Baraka teley.. in shaa Allah ………… Happy birthday best friend Happy birthday mchizi wangu Happy birthday baba Watoto❣ @majizzo
ni kama hainaga.................................................................

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / HAMISA MABETO NA LULU WAMEANDIKA UJUMBE MZITO INSTAGRAM, KUMTAKIA HERI YA KUZALIWA 'MAJAY'

No comments :