Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » JESHI LA YANGA SC KLABU LITAKALOPAMBANA NA WANA MAJIMAJI HILI HAPA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Mabingwa Watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga SC leo wanawakaribisha Majimaji ya Songea, mchezo unaotarajiwa kufanyika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo jioni.
Yanga wanaingia katika mchezo huo wakiwa na kumbukumbu ya kutoka suluhu na Ndanda ya Mtwara, mchezo uliochezwa Jumatano katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona, wakati Majimaji hawana kumbukumbu nzuri kutokana na kutofanya vyema katika michezo yao ya awali.
Kuelekea mchezo huu, Yanga wanahitaji matokeo ya ushindi ili kuanza kujiwekea mazingira mazuri mapema ya kutetea taji lao.
Kocha wa Yanga Hans Van der Pluijm ameendelea kumuanzisha langoni kipa Ally Mustapha ‘Barthez’, kufuatia kipa namba moja wa klabu hiyo Deogratius Munishi ‘Dida’, kurejea siku moja tu kabla ya mchezo huu kutoka Moshi alipokwenda kumzika baba yake aliyefariki hivi karibuni.
Kikosi cha Yanga kipo hivi;
Kikosi kinachoanza: Ally Mustapha ‘Barthez”, Juma Abdul Jaffar Mnyamani, Haji Mwinyi, Andrew Vincent ‘Dante’, Nadir Haroub Ali ‘Cannavaro’, Thabani Scara Kamusoko, Simon Happygod Msuva, Deus David Kaseke, Amissi Jocelyn Tambwe, Donald Dombo Ngoma na Obrey Chirwa.
Akiba: Beno Kakolanya,Oscar Fanuel Joshua, Juma Mahadhi, Kelvin Patrick Yondani ‘Cotton’, Matteo Anthony, Yusuph Muhilu na Hassan Ramadhan Kessy.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / JESHI LA YANGA SC KLABU LITAKALOPAMBANA NA WANA MAJIMAJI HILI HAPA

No comments :