Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » » MWINJILISTI MIPAWA AKIFUNDISHA SOMO MUHIMU SANA KUHUSU "NDOO YA DHAMBI KWA CHEMI CHEMI YA UZIMA"
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Ikiwa unahitaji Maombezi na uponyaji kwa jina la Yesu Kristo na kupokea mafundisho ya kweli kuhusu ukristo na namna unavyopaswa kuishi kiimani basi ni vema ukakutana na watumishi walio na uelewa na IMANI, kwa sasa nakukutanisha na Mtumishi Dickson Joseph Mipawa wa kanisa la S.D.A.

Ni kutoka kanisa la Kiadventista Tegete jijini Dar es salaam akiwa na masomo mazuri yasiyo kufundisha kudharau dini nyingine zaidi kuziheshimu na kutafuta uso wa Mungu kwa bidii kwa ajili ya kizazi chako na vijavyo.

ukihitaji kupata maombezi na maneno yenye baraka kutoka kwa mtumishi wa Mungu Mwinjilisti DicksonJoseph Mipawa, anapatikana Jijini Dar es salaam kanisa la Tegeta S.D.A.

AU KUPITIA sOCIAL nETWORKS 
Whatsupp kwa namba-0762502392
Au Email: dicksonjoseph58@yahoo.com
au dicksonmipawa4@gmail.com

Hapa chini ni Audio ya Neno lake Kuhusu "Ndoo ya dhambi na chemi chemi ya Uzima">>>>>

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / / MWINJILISTI MIPAWA AKIFUNDISHA SOMO MUHIMU SANA KUHUSU "NDOO YA DHAMBI KWA CHEMI CHEMI YA UZIMA"

No comments :