Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » DIEGO COSTA ANAKWENDA ATLETICO MADRID
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Mshambuliaji wa kimataifa wa Uhispania, Diego Costa amepiga picha za video akifurahia likizo yake huku akiwa amevalia jezi ya Atletico Madrid.
  • Katika picha hizo za video alizopakia kwenye mtandao wake wa Instagram, nyota huyo alivaa jezi ya timu yake hiyo ya zamani, huku akiandika ujumbe kwa mchezaji mwenzake Cesc Fabregas kuwa amkumbatie meneja wao Antonio Conte.

  • Mustakabali wa Costa bado haujawekwa sawa toka nyota huyo alipobainisha kuwa Conte alimwambia kuwa hahitajiki tena kwenye klabu hiyo.
Matokeo hayo yamemfanya Costa mwenye umri wa miaka 28 kuachwa katika kikosi cha Chelsea kilichoanza maandalizi ya msimu ujao huku kukiwa na matumaini ya kupata klabu mpya.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / DIEGO COSTA ANAKWENDA ATLETICO MADRID

No comments :