Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » KIPA JOE HART KUFANYIWA UCHUNGUZI WA KIMATIBABU WEST HAM
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Mlinda lango wa England Joe Hart amepangiwa kufanyiwa uchunguzi wa kimatibabu leo Jumatatu kabla ya kutia saini mkataba wa kukaa West Ham msimu mmoja kwa mkapo.
Hart alikuwa ameambiwa na meneja wa Manchester City Pep Guardiola ajitafutie klabu nyingine baada yake kukaa msimu uliopita Torino.
  • Inatarajiwa kwamba City watakuwa wakilipa sehemu ya ujira wake.
Mkataba huo unatarajiwa kuwa na kifungu ambapo West Ham wanaweza kuruhusiwa kumnunua kabisa mchezaji huyo wa miaka 30.
Mkataba wa Hart katika Manchester City utafikia kikomo 2019.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / KIPA JOE HART KUFANYIWA UCHUNGUZI WA KIMATIBABU WEST HAM

No comments :