JAMIE
CARRAGHER
Jamie Carragher
anaamini kwamba Liverpool wana mshambuliaji wa pili kwa ubora katika ligi kuu
Uingereza. Nguli huyo wa Liverpool amesema kuwa ni Aguero pekee ndiye mwenye
uwezo wa kumzidi Sturridge.
Aguero alifunga
mabao 35 msimu uliopita katika mashindano yote, huku akiwa amefunga mabao 109
tangu awasili kwa matajiri hao wa jiji la Manchester.
Hata hivyo,
Sturridge amefanikiwa kufunga mabao 42 tangu ajiunge na klabu ya Chelsea
Sergio
Aguero ndiye mshmbuliaji bora wa EPL kwa sasa kwa mujibu wa Carragher. Na
Carragher anaamini kwamba wakiwa kamili, Aguero na Sturridge ni washambuliaji
wawili wa kiwango cha juu kabisa katika ligi kuu Uingereza.
**************************
JOSE
MOURINHO
Jose Mourinho ameonya kuwa atakiingiza kikosi cha watoto msimu ujao iwapo kikosi alichonacho kitashindwa kutwaa moja wapo ya mataji inayoshindaniwa .
Chelsea wamefanya vibaya katika mechi za hivi karibuni.\
Chelsea wamefanya vibaya katika mechi za hivi karibuni.\
Akizungumza kabla ya kucheza Ligi ya Mabingwa dhidi ya klabu yake ya
zamani Porto, Mourinho alisema hawana wasiwasi kuhusu nafasi yoyote ya
wachezaji wake wakubwa na matarajio ya vijana katika mashindano ya mbele.
****************************
WAYNE
ROONEY
Nahodha wa Manchester United Wayne Rooney amekanusha kuomba kuihama man u mwaka
2013, ingawa anakiri kujadili suala la kuondoka na Sir Alex Ferguson.
Ferguson alimsainisha Rooney kutoka Everton mwaka 2004 lakini, Pamoja na kufurahia mafanikio makubwa Old Trafford kabla ya kustaafu miaka miwili iliyopita, alikuwa na uhusiano mgumu na mchezaji huyo.
Ferguson alimsainisha Rooney kutoka Everton mwaka 2004 lakini, Pamoja na kufurahia mafanikio makubwa Old Trafford kabla ya kustaafu miaka miwili iliyopita, alikuwa na uhusiano mgumu na mchezaji huyo.
Alitangaza mwezi Oktoba 2010 Rooney alikuwa anataka kuondoka klabuni hapo kabla ya kukabidhiwa mkataba wa miaka mitano .
**********************************************
NEYMAR
Wakala wa Neymar nyota wa kibrazil na
Barcelona Wagner Ribeiro amesema kuwa mteja wake endapo ataondoka barca anapaswa kujiunga na klabu ya Real Madrid .
Mahakama Brazil imezuia mali za Neymar,kutokana na mchezaji huyo kukwepa kulipa kodi ambapo mali hizo zina thamani ya dola ($ 48,000,000, } sawa na euro milioni 42)mahakama imedai kuwa nyota huyo mwenye umri wa miaka 23 alishindwa kulipa euro milioni 63 kama kodi nchini brazil (karibu $ 16m au € 14m) kati ya 2011 na 2013 Wakati bado alikuwa mchezaji wa klabu santos nchini Santos.
Katika kukabiliana na hatua, Ribeiro Alichukua nafasi katika Instagram siku ya Jumatatu kwa kutoa ushauri wake, akisema kuwa nyota huyo anaweza kushindwa kusimamia fedha na biashara zake kipindi kijacho na kama barca wasipokuwa makini katika utatuzi wa kesi yake hiyo ni wazi mshambuliaji huyo atatua katika kikosi cha mahasimu wao Real Madrid.

****************************************
GAUCHO
mchezaji wa zamani wa barcelona na timu ya taifa ya brazil Ronaldinho Gaucho amevunja mkataba na klabu yake ya Fluminnence wiki chache tangu kujiunga nayo kutokana na kutokea kuto kuelewana na baadhi ya viongozi wa klabu hiyo. "klabu ilitangaza Jumatatu usiku".
"Fluminense hilitangaza kuvunja mkataba wao na Ronaldinho Gaucho katika kwa amani na katika makubaliano ya pande zote," taarifa rasmi ya klabu hiyo imeripoti hivyo.
"Fluminense hilitangaza kuvunja mkataba wao na Ronaldinho Gaucho katika kwa amani na katika makubaliano ya pande zote," taarifa rasmi ya klabu hiyo imeripoti hivyo.
*******************************
LIONEL
MESSI
rodrigo ndugu yake Lionel Messi hajui kama atarudi kutoka kwenye maumivu yake
ya sasa ya goti kipindi ambacho Barcelona watacheza El Clasico dhidi ya Real
Madrid Novemba 21, Rodrigo amesema katika redio ya Hispania.
Messi aliumia goto mechi ya wiki hii ya ligi kuu hispania waliposhinda dhidi ya Las Palmas mabao 2-1 Camp Nou, Barcelona nao wamesema kuwa messi atakaa nje takribani wiki saba hadi nane
Messi aliumia goto mechi ya wiki hii ya ligi kuu hispania waliposhinda dhidi ya Las Palmas mabao 2-1 Camp Nou, Barcelona nao wamesema kuwa messi atakaa nje takribani wiki saba hadi nane
***********************************
UEFA
CHAMPIONS LEAGUE
21:45 Borisov Arena.
BATE Borisov V Roma
21:45 Camp Nou, Barcelona
Barcelona V Bayer Leverkusen
21:45 Stadio Emirates
Arsenal V Olympiakos
21:45 Allianz Arena, Munich
Bayern Munich V Dinamo Zagreb
21:45 Stadio Dragao
FC Porto V Chelsea
21:45Itztadion Sammy Ofer
Maccabi Tel Aviv V Dynamo Kyiv
21:45 Stade De Gerland
Lyon V Valencia
21:45 Stadion Petrovskiy
Zenit St. Petersburg V Gent
*******************************************
No comments
Post a Comment