Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » MADAI YA UCHAGUZI KUTOKUWA HURU NA HAKI MATOKEO YOTE YA UCHAGUZI MKUU YAMEFUTWA.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Tume ya Uchaguzi Zanzibar imeufuta uchaguzi mkuu wa Zanzibar kutokana na kuwa na dosari nyingi ikiwemo uchaguzi kutokuwa huru na wa haki

Mwenyekiti wa ZEC amewaambia waandishi wa habari mchana huu kuwa amechukua maamuzi hayo baada ya kujiridhisha kuwa uchaguzi ulighubikwa na dosari nyingi.

"Mimi nikiwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, nimeridhika kuwa Uchaguzi huu umegubikwa na makosa makubwa....

"Kwa mamlaka niliyonayo natangaza rasmi kuufuta uchaguzi huu kwa kuwa haukuwa huru na wa haki, mtajuulishwa tarehe itakayofanyika uchaguzi mwingine hapo baadae, Ahsanteni kwa kunisikiliza"! - Jecha S. Jecha, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC).

Chanzo Malunde1blog

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / MADAI YA UCHAGUZI KUTOKUWA HURU NA HAKI MATOKEO YOTE YA UCHAGUZI MKUU YAMEFUTWA.

No comments :