Haya ndiyo mabaki ya ndege iliyotoa uhai wa mgombea ubunge wa jimbo la
Ludewa mkoani Njombe Deo Filikunjombe,rubani wa chopa hiyo William Silaa
na abiria wengine wawili ambao bado hawajajulikana ni akina nani kutoka
na watu wote waliokuwa ndani ya helkopta hiyo kuungua vibaya na
kutotambulika.Miili ya marehemu imepelekwa jijini Dar es salaam katika
hospitali ya Lugalo
"Ni taarifa ya kushtusha sana ya msiba wa mwanasiasa chipukizi na jasiri, Deo Filikunjombe kutokana na ajali ya Helikopta juzi jioni maeneo ya mbunga ya Selous mkoani Morogoro.
Ni pigo jingine kubwa ambalo katika kipindi kifupi Taifa limepata, huku bado likiwa na kidonda cha kuondokewa na wana siasa wengine mahiri,Marehemu Celina Kombani, Dr Abdallah Kigoda na Dr Emanuel Makaidi aliyefariki Oktoba 15,2015.
Filikunjombe alikuwa Mbunge mahiri aliyesimama imara kutetea maslahi ya wananchi wa jimbo lake la Ludewa na watanzania kwa ujumla.
Mbunge wa Ludewa Mhe. Deogratias Haule Filikunjombe amefariki dunia katia ajali ya Chopa katika hifadhi ya wanyama ya Selous, pamoja na rubani Kepteni William Silaa mfanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa.
Wengine waliofariki kwenye ajali hiyo ni Vitalis Blanka haule na Ofisa Tawala wa Wilaya ya Tarime, Bw. Egdi Mkwera ambaye alikuwa mtaalam wa mifugo.
Alikuwa mwiba kwa serikali ya Chama chake CCM kutetea maslahi ya nchi, mfano ni katika kashfa ya Escrow ambapo alikuwa Makamu Mwenyekiti wa kamati iliyochunguza kashfa hiyo.
Mwenyezi Mungu awape moyo wa subira, familia, jamaa, marafiki na wananchi wa Ludewa, katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mpendwa wao.
"Mungu ilaze mahali pema peponi roho ya mpendwa wetu tuliyempenda na kumwamini kama mkombozi wa vijana na watanzania"

Mke wa marehemu Deogratias Filikunjombe, Sarah Filikunjombe (kushoto) akilia kwa uchungu baada ya kupata tarifa za kifo cha mumewe. |
Capt. William Silaa enzi za uhai wake. |
Deo akiwa na Lowassa enzi za uhai wake |
Hii ndio Chopa iliyosababsha kifo cha Filikunjombe, Capt. William Silaa na watu wengine wawili. |
Filikunjombe akiwaaga wananchi wake enzi za uhai wake. |
Nyumbani kwa Deogratias Filikunjombe Mbagala Kijichi, Dar es Salaam(hii ndiyo nyumba yake |
Ndugu, jamaa na marafiki wakionekana wenye huzuni nyumbani kwa Deogratias Filikunjombe. |
Huyu Ndo Mke wa Marehemu Mbunge Deo Filikunjombe Aliyefariki Kwenye Ajali ya Helkopta yaCcm |
No comments
Post a Comment