kama tunavyofahamu mwenge wa Uhuru unatarajiwa kuzimwa mkoani Dodoma siku chache zijazo ikiwa ni Oktoba 14 mwaka huu, imeonekana bado kuna sintofahamu nyingi miongozi mwa vijana na wazee wa mkoa huu, nimezungumza na wachache waliowawakilisha wengi zaidi na haya ndio waliyosema juu ya mwenge huo.
Kauli mbiu ya mwaka huu ni "Tumia Haki yako ya Kidemokrasia, Jiandikishe na Kupiga Kura katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015``.
Kauli mbiu ya mwaka huu ni "Tumia Haki yako ya Kidemokrasia, Jiandikishe na Kupiga Kura katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015``.
>>>BOFYA HAPA KUSIKILIZA SAUTI ZA>>>
No comments
Post a Comment