Utajisikiaje pale unapoamini usafiri wa ndege uliougharamia utakufikisha salama sehemu unayokwenda lakini ukaishia kusafiri kwa kero kutokana na huduma zake?
Abiria wa ndege moja iliyokuwa ikisafiri kutoka Abuja kwenda Ilorin Nigeria walijikuta wakipatwa na mshangao baada ya mvua kunyesha na ndege kuanza kuvuja.
Abiria mmoja aliamua kurekodi tukio hilo na kutuma kwa moja ya vyombo vya habari na kusambazwa katika mitandao mbalimbali.
Video iko hapa mtu wangu…
No comments
Post a Comment