JUSTIN BIEBER AWA NAMBA MOJA BILLBOARD NA ALBUM YA PURPOSE NA KUMI BORA ZIKO HAPA
Justin Bieber amerudi juu ya chati tofauti za muziki baada ya album yake ya sita ‘Purpose‘ kushika namba moja kwenye chati za Billboard 200.
Wiki ya kwanza Purpose imeuza kopi 649,000 na kuweka rekudi ya mauzo makubwa toka December 2014. Album iliyokaribia rekodi hii ni album ya Drake ‘If You’re Reading This It’s Too Late’ kwa kuuza kopi 535,000.
Billboard 200 Top 10
1. Justin Bieber – Purpose – 649,000
2. One Direction – Made in the A.M. – 459,000
3. Logic – The Incredible True Story – 135,000
4. Jeezy – Church in These Streets – 107,000
5. Chris Young – I’m Comin’ Over – 65,000
6. Chris Stapleton – Traveller – 53,000
7. Trans-Siberian Orchestra – Letters From the Labyrinth – 46,000
8. The Weeknd – Beauty Behind the Madness – 43,000
9. Alessia Cara – Know-It-All – 36,000
10. Kirk Franklin – Losing My Religion – 35,000
No comments
Post a Comment